Masharti ya Huduma

1. Kukubali Masharti

Kwa kutumia 1.80 Challenge, unakubali masharti haya yote. Kama hukubali, tafadhali usitumie huduma hii.

2. Umri

Lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi kutumia huduma hii.

3. Akaunti

Unahitaji kutengeneza akaunti ili kutumia huduma. Wewe ndiye unayewajibika kuhakikisha taarifa zako ni sahihi na password yako ni salama.

4. Malipo

Malipo yote yanafanywa kupitia M-Pesa, TigoPesa au Airtel Money. Transaction ID lazima iwe sahihi. Malipo yanakaguliwa na admin kabla ya kukubaliwa.

5. Ushindi na Hasara

Matokeo ya challenge huamuliwa na admin kulingana na matokeo halisi. Maamuzi ya admin ni ya mwisho.

6. Payouts

Payout inahesabiwa kwa kiasi ulichoweka × 1.80. Payout inawekwa kwenye wallet yako na unaweza kuomba kutoa pesa.

7. Discount

Ukipoteza, utapata discount ya 5% ya kiasi ulichoweka. Discount code inaisha baada ya siku 30.

8. Mabadiliko ya Masharti

Tunaweza kubadilisha masharti haya wakati wowote. Mabadiliko yatakuwa na nguvu mara baada ya kuchapishwa kwenye ukurasa huu.

RUDI NYUMBANI